Wednesday, July 30, 2008

HABARI KWA MADANSA WAKIKE

Cheza Tanzania imeamua kuwapa nafasi ya pekee madansa wakike wenye umri kati ya miaka 16 na 27 wenye uwezo wa kucheza nyimbo kufika katika ukumbi wa Angel's Park siku ya Ijumaa, tarehe 1 Agosti, saa 2 asubuhi. Watapewa nafasi ya kushindania nafasi 9 zilizobaki katika top 40 na jioni wataungana na wale 31 kushindania nafasi katika top 20. Ni nafasi pekee kwa wasichana kwani kuna uhaba wa wasichana katika mashindano haya.

No comments: