Wednesday, August 6, 2008

WASHIRIKI 21 WALIOPITA KWENYE TOP 20

Washiriki waliofanikiwa kuingia kwenye top 20 iliyo fanyika siku ya Ijumaa tarehe Mosi Agosti, ni wafuatao:
1. Ally Luna (68)
2. Baraka Mirambo (67)
3. Chris (66)
4. Yusqo (70)
5. More Love (63)
6. Samy (71)
7. Ally Ndomga (17)
8. Papaa Denis (52)
9. Issa Haidary (24)
10. Peter Willam (56)
11. Dickson Guntram (39)
12. Fredy Felix (5)
13. Peter Kelin (48)
14. Boniface Ibrahim (49)
15. Naima Abduly (89)
16. Moses (42)
17. Halima Kiseki (40)
18. Dogo Seki (80)
19. Ibrahimu Salum (38)
20. Catherine John (92)

washiriki hawa wamepata nafasi ya kuingia moja moja kwenye mchuja utakaokuwa ukifanyika kila wiki kwenye luninga kupitia kituo cha TBC1.

Thursday, July 31, 2008

KAZI YAENDELEA


the post production is now in progress..Khalid editor wetu wa Cheza Tanzania akiwa jikoni kwake akitupikia show yetu kwa umakini..stay tuned to TBC1 upate flavour nzima kuanzia Agosti hii...

Wednesday, July 30, 2008

HABARI KWA MADANSA WAKIKE

Cheza Tanzania imeamua kuwapa nafasi ya pekee madansa wakike wenye umri kati ya miaka 16 na 27 wenye uwezo wa kucheza nyimbo kufika katika ukumbi wa Angel's Park siku ya Ijumaa, tarehe 1 Agosti, saa 2 asubuhi. Watapewa nafasi ya kushindania nafasi 9 zilizobaki katika top 40 na jioni wataungana na wale 31 kushindania nafasi katika top 20. Ni nafasi pekee kwa wasichana kwani kuna uhaba wa wasichana katika mashindano haya.

WALIOPITA KUINGIA TOP 40 YA CHEZA TANZANIA

Washiriki wafuatao 31 wamepita kuingia katika top 40 ya Cheza Tanzania na watahitajika kufika katika mchujo wa kuingi top 20 utakaofanyika tarehe 1 Agusti siku ya Ijumaa pale Angel's Park. Mashindano hayo yataanza kuanzia saa 9 jioni na watakao pita wataingia katika kinyang'anyiro cha kumpata mshindi wetu wa Cheza Tanzania.

WASHIRIKI 31 WALIOPITA KATIKA CHEZA TANZANIA PHASE 1.

S/N
JINA LA MSHIRIKI
NAMBA YA MSHIRIKI
1. Ahmed Makambi mshiriki namba 11
2. Emmanuel Melkiory mshiriki namba 10
3. Ally aka Ndonga mshiriki namba 17
4. Jackson Milian mshiriki namba 14
5. Dogo Yona mshiriki namba 21
6. Issa Haidaly mshiriki namba 24
7. Mosses mshiriki namba 42
8. Dickson Guntram mshiriki namba 39
9. Ibrahim Salim mshiriki namba 38
10. Peter William mshiriki namba 56
11. Chris mshiriki namba 66
12. Ally Luna mshiriki namba 68
13. Best Friend mshiriki namba 77
14. Sam mshiriki namba 78
15. Dogo Seck mshiriki namba 80
16. David Sandras mshiriki namba 62
17. More Love mshiriki namba 63
18. Baraka Mirambo mshiriki namba 67
19. Ally Ismael mshiriki namba 79
20. Thobias Henry mshiriki namba 58
21. Salehe Hassan mshiriki namba 28
22. Peter Kelvin mshiriki namba 48
23. Bonifasi Ibrahim mshiriki namba 49
24. Papaa Delius mshiriki namba 52
25. Shaaban mshiriki namba 47
26. Yusqo mshiriki namba 70
27 Said mshiriki namba 61
28. Meck Ndomba mshriki namba 2
29.Hassan Swalehe mshirik namba 4
30. Raymond M. mshirki namba 8
31. Halima Kiseki mshiriki namba 40

MO PICS...

Deogratias Sizya (Production Manager), Dj Fatty (judge) na Dorothy Kipeja ( Producer), timu ya Cheza Tanzania, wakiwa katika pozi la picha ya pamoja.


Dj Fatty, mmoja wa majaji wetu akiwa na Dorothy Kipeja siku ya auditions.

THE CREW AND PLANNERS OF CHEZA TANZANIA AT WORK



Alloyce,choreographer, na Mwanaima Mrutu, mmoja wa majaji wa Cheza Tanzania,wakiwa katika pozi,




meza yetu ya majaji wa Cheza Tanzania..





Rachel Kessi na Jacqueline Mgumia, members wa bodi ya wakurugenzi ya Music May Day Tanzania









Khadija Khamis mmoja wa wachukua picha wa Tripod Media akifanya shughuli yake katika Cheza Tanzania..

dancer akionyesha manjojo yake....